Monday, July 9, 2012

Picha Yetu Jumatatu Hii:Baba na Mwana

Pichani ni Askofu mkuu wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of GOD(EAGT) askofu Moses Kulola akimlisha keki mwanaye Mch Dr Daniel Kulola wakati wa Birthday party ya Askofu Moses Kulola mapema mwezi uliopita.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...