Monday, September 3, 2012

Casfeta Praise and Worship Concert YafanaJumapili ya Jana katika kanisa na upanga City Christian Centre kulifanyika Tamasha la kusifu na Kuabudu lililoandaliwa na uongozi wa Casfeta-TAG mkoani Dar es salaam na kuhudhuriwa na mamia ya wanafunzi na wakazi wa jiji hili.Kimsingi tamasha hili lilikuwa ni maalumu pia kwa ajili ya kuchangia kwaya ya Casfeta Dar es salaam iweze kufanya LIVE recording.

Katika Tamasha hilo lilivihusisha pia vikundi mbali mbali vikiwemo Rivers of life chini Pastor Paul Safari,pia "Praise and worship team" kutoka kanisa la Word Alive nayo ilihudumu huku Casfeta Praise and worship team iliyokuwa chini ya BALE wa DPC ikihudumu mahali hapo, team hiyo ni mkusanyiko wanafunzi kutoka shule mbalimbali za jijini Dar es salaam.Casfeta Praise Team ikihudumu

Jesca Honore  kutoka “Word Alive Praise Team” akihudumu
Sehemu ya Umati

Bale wa DPC with full white akiongoza Casfeta Praise Team

Pastor Safari akiongoza Harambee kuchangia Live recording ya Casfeta Dar es salaam
John Lisu on stageKatikati ya wafalme mimi sijaona Mungu kama wewe…..

1 comment:

 1. Hey Everybody,

  Below is a list of the most recommended forex brokers:
  1. Best Forex Broker
  2. eToro - $50 minimum deposit.

  Here is a list of top forex instruments:
  1. ForexTrendy - Recommended Odds Software.
  2. EA Builder - Custom Strategies Autotrading.
  3. Fast FX Profit - Secret Forex Strategy.

  I hope you find these lists helpful.

  ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...