Wednesday, November 16, 2011

Sifa Zivume DVD launch Yasubiriwa kwa Hamu

Rivers of Life
Kanisa la Dar es salaam Pentecost Church likiongozwa na Praise ad Worship Team ya Kanisani hapo ijulikanayo kama RIVERS OF LIFE Tar 27/11/2011 Katika Ukumbi wa Diamond Jubelee  wataadhimisha Ibada ya Kusifu na Kuabudu pamoja na Kuzindua na Kuweka Wakfu Album ya Rivers of Life - DPC ya Sifa Zivume iliyorekodiwa Live pale Mlimani City.

Rivers of Life siku hiyo Watasindikizwa na The Voice, Faith Singers, Victor Aaron na Joshua Mulemwa.Wakati Dvd ya Sifa zivume ikiwekwa wakfu na kuzinduliwa siku hiyo, Audio CD ya Sifa Zivume tayari ipo na inapatikana kwa kuwa imetolewa kabla ya Dvd. John Lisu, Pastor Safari, Minza Nkilla ni miongoni mwa wanaounda kundi hilo la Rivers of Life.

Kiingilio:
Kawaida - 5 000
Viti Maalum: 10 000
Muda 9:00 Mchana-1:00 Usiku
Kwa maelezo zaidi. piga 0712 207 717

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...