Thursday, November 3, 2011

Flora Mbasha Aja na Blogsite Yake


Flora Mbasha
Mwanamuziki wa Nyimbo za Injili kutoka jijini Dar es salaam Flora Mbasha amefungua Blogsite maalumu kwa ajili ya Kutangaza kazi zake. Blogsite Hiyo inayopatikana kupitia
 www.florambasha.blogspot.com  ambayo imeanza Mwezi uliopita ni Mwanzo wa Safari ndefu ya Mapinduzi yaki-teknohama ambayo wanamuziki wa injili wanahitaji kupitia ili kuzitangaza Kazi zao.

Flora Mbasha na Mumewe Emmanuel Mbasha kwa Pamoja ni waimbaji wa nyimbo za injili, mwaka huu mwanzoni walizindua  Studio yao ya Muziki iitwayo FLAME RECORDS iliyoko nyumbani kwao Tabata jijini ambapo Mh Edward Loasa alikuwa mgeni Rasmi katika uzinduzi huo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...