Monday, June 4, 2012

Picha Yetu Jumatatu Hii:Mke wa Benny Hin Mama Susani Hin akiwa kwenye Huduma

Mke wa Mtumishi wa Mungu Benny Hin Susane Hin akiweka mkono juu ya kipofu naye akapata kuona katika moja ya mikutano waliyokuwa wakifanya kazi pamoja.Kwa sasa Benny Hin na mkewe wameripotiwa kurudiana baada ya kuishi mbalimbali kwa zaidi ya miaka miwili.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...