Monday, June 11, 2012

Friends Festival in Mwanza yawagusa wengi


Siku ya jana katika Hotel ya Monach jijini Mwanza kulifanyika ile siku iliyokuwa ikisubiriwa na wengi jijini humo ambapo kundi maarufu la kusifu na kuabudu jijini Mwanza liitwalo KINGDOM WORSHIPERS chini ya Pastor Goodluck Nzwalla ndio walioandaa siku hiyo.Watu kutoka kona mbali mbali za Mwanza walifika wakiwemo wafanyakazi wa maofisini, wajasiliamali watumishi wa Mungu, na wanafunzi wote waliweza kukaa pamoja huku Kingdom Worshipers ikiongoza sifa na kuabudu ukumbini hapo.

Kulifanyika  mengi ukumbini hapo ikiwa ni pamoja na Mch Sentoz kutoa nasaha kwa vijana huku wanafunzi kutoka vyuo vikuu jijini humo wakifurahi na kwa kupata wasaa wa kukutana na kubadilishana mawazo.Ilikuwa ni furaha na ni moment ya mwisho kwa FINALIST wa vyuo vyote jijini Mwanza wakaweka mbali tofauti za vikundi vyao vya dini kukutana pamoja na kufurahi.
Anaitwa David Silwimba kutoka Sumbawanga na mwanachuo wa SAUT,huyu mkaka ni mmoja wa Praise leaders wa Kingdom Worshipers akilead Praise.Davy huruka hadi sarakasi(beck) pindi sifa ikikolea
Kingdom worshipers

Kingdom worshipers on Stage, wa Kwanza kushoto ni Papaaa Noel Sebene wa Mlabwa


Gidy ma Drumz.

Gideon Nzwalla akimvisha pete dada Jerryne Jesse wote hawa ni wana Kingdom Worshipers
Mbeba maono wa friends in Mwanza Pastor Goodluck Nzwalla
Hadhira
Shangwe
Kushoto ni TAFES-Model(Cult walks na kila kitu) Bro Felix Mshana akiwa uweponi pembeni ni Dada Kabula 


Man of GOD Barnabas Shija kushoto, kulia ni mmoja wa wanakamati wa huduma ya MANA na mfanyakazi wa Exim Bank.

Colours of Events, ni Bro Adolph Nzwalla na Vicky Bonge, hawa watu huwezi wakosa kwenye Event yoyote ya Gospel jijini Mwanza.

Picha kwa Hisani ya Emanuel Sowane

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...