Thursday, March 15, 2012

Askofu Boazi Sollo amaliza Mkutano wa Injili jijini Mbeya

Askofu Boazi Sollo akihubiri katika viwanja vya Uhasibu jijini MbeyaAskofu Boaz Sollo kutoka Iringa Tanzania kuanzia tarehe 9-11/03/2012 alikuwa akiendesha mkutano mkubwa wa injili katika viwanja vya uhasibu jijini Mbeya.Mungu alimtumia Askofu Boazi katika kuwafungua wengi na kuwaleta kondoo kwa Kristo.

Askofu Boazi Sollo akifanya Maombezi

Umati wa watu waliojitekeza katika viwanja vya uhasibu jijini Mbeya kusikiliza Injili ya YESU KRISTO

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...