Friday, March 2, 2012

Hillsong watangaza jina la Album yao MpyaKundi maarufu la Muziki wa injili kutoka bara la Australia liitwalo HILLSONG, limetangaza rasmi kuwa litazindua album yao mpya mnamo mwezi wa saba mwaka huu wa 2012 iliyopewa jina la “Cornerstone.”Ifuatayo ni official announcement kutoka kwa Hillsong wenyewe.

We're excited to announce the title of our new Hillsong Live album "Cornerstone" (released July 2012). "Together, we are His house, built on the foundation of the apostles and the prophets. And the cornerstone is Christ Jesus Himself" (Eph 2:20 NLT). Can't wait for you to hear it.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...