Tuesday, March 6, 2012

Kutoka Mitandao Ya Jamii


Mada Kutoka Facebook Group la Wajoli

Godwin Lwiza:Wajoli Nawasalimu Katika Jina La Bwana Na Mwokozi Wetu Yesu Kristo!Hivi Ni Njia Gani Sahihi Na Ya Kiroho Zaidi Kijana Aitumie Kumpata Mwenzi Wake Wa Maisha?Maana Naona Kutokana Na Mabadiliko Ya Kisiasa,Kiuchumi Na Pia Kisayannsi Na Kitekinologia Hali Si Shwali Sana Kwa Vijana Katika Kanisa La Mungu Tanzania Kuhusiana Na Jambo Hili Nyeti Sana.



    Margareth Mwaseba mimi nahisi kwa uongozi wa Mungu ndo itakuwa rahisi, 
    Godwin Rwiza TUTAJUAJE KWAMBA HUYU ANAONGOZWA NA MUNGU AU HUYU HAONGOZWI NA MUNGU?MAANA WENYE KUJIFANYA KONDOO KUMBE NI MBWA MWITU WANAOTAFUTA WATAKATIFU WAMEONGEZEKA SANA.

 Davina Esther Msechu Mtumishi inabidi kuomba sana napia kuwa tayari MUNGU akuongoze, usichague sana as hakuna mkamilifu na pia sio rahisi ukampata mtu ambae ni 100% kama unavyo tamani.






Davina Esther Msechu Kumbua kama ni kaka Speek out and Wadada be available na MUNGU awaongoze 













Godwin Rwiza AMEN !




 Elinaja Mwanga Mi ninavyojua!,"Bwana akaona adam c vyema awe peke yake,akampatia msaidizi",nasi 22lie chini ya mkono wake Bwana,akiona wkt wa kukuongeza i.e,c vyema kutokuendelea kua pk yk,bc atakufanyia msaidizi,na namna pia ya kumpta.tatizo w2 wanapenda v2 rahc rahc 2,na ndo shda ilipo@kitangala. 












Godwin Rwiza NAHITAJI KUJIFUNZA HASWA KIMAANDIKO!SI MIMI TU BALI VIJANA WOTE MAKANISANI!










  
G Jonathan Kamenge Zab 119:09.





 Clara Gasper mali, fedha, urithi hivyo angaika navyo wewe mwanadamu LAKINI MKE/MUME MUACHIE MUNGU YEYE NDIYE ATAKAYEKUPA MKE/MUME MWEMA







Godwin Rwiza NI KWELI MTUMISHI ILA NAOMBA NIULIZE,MUNGU HUTUMIA NJIA ZIPI KUONGEA NA MTU?








 Godwin Rwiza NI KWELI MTUMISHI ILA NAOMBA NIULIZE,MUNGU HUTUMIA NJIA ZIPI KUONGEA NA MTU?











 Clara Gasper MAOMBI




G Jonathan Kamenge Pastor wangu alinipa jibu rahisi sana wakati fulani ambalo katika kulitafakai nimeona umuhimu wake. Alisema, "Jishughulishe na mambo ya Mungu ili ikusaidie kujua nani muigizaji nani halisi".

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...