Tuesday, March 20, 2012

Sonnie Badu na William McDowell kuhudumu pamoja


William Mc Dowell
Jumamosi ijayo jijini Texas nchini Marekani  kutafanyika Tamasha la Muziki wa injili litakalowakutanisha wanamuziki wawili mashuhuri ambao ni Pastor William Mc Dowell kutoka Marekani na Pastor Sonnie Badu kutoka nchini Ghana.

Pastor Sonnie Badu
 Wakati Sonnie Badu kwa sasa ndiye mwanamuziki Bora wa injili barani Afrika kwa mujibu wa African Gospel Music Awards za mwaka jana 2011.William Mc Dowel yeye anatamba kwa nyimbo yake ya kuabudu ambayo imekuwa gumzo ulimwenguni kote iitwayo “I give myself a way”.   

Kwa asili watumishi hao wote ni waabudishaji(Worshipers), na chemistry yao itatengeneza kitu kikubwa katika ulimwengu wa Roho kwa utukufu wa Mungu.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...