Monday, November 5, 2012

Dady Oweni achaguliwa kuwa mwanamuziki bora Nchini Kenya
Dady Owen

Mwanamuziki mahiri wa Injili nchini Kenya Dady Owen, jumamosi iliyopita alichaguliwa kuwa mwanamuziki bora nchini Kenya(the best artist of the year) kupitia tuzo BORA KULIKO ZOTE Africa Mashariki ziitwazo KISIMA MUSIC AWARDS. Ifahamike kuwa Kisima Music Awards huwashirikisha wanamuziki wa nyimbo zote (Gospel na Non Gospel) kutoka nchini Kenya lakini Ubora wa Tuzo hizo kwa habari ya maandalizi, Vigezo na kila kitu ndio vitu vinavyofanya Tuzo hizo kuheshimika zaidi katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na kati
Wanamuziki wengi wa Injili nchini Kenya walipata nafasi ya kuingia kwenye category mbalimbali na Dady Owen ndiye alifanikiwa kuibuka na tuzo mbili.Wiki mbili zilizopita, Hosanna Inc iliwahi post Nadhiri aliyoitoa Dady Owen Kuwa endapo atashinda tuzo hizo atatoa sehemu kubwa ya pesa hizo kwa watoto yatima.Fuatilia hapa chini washindi wa tuzo hizo wamekuwa Bolded

Best Upcoming Artiste
Alicios
Anto Neosoul
Camp Mulla
Nariki
Xtatic
Yvonne Darcq


Best Boomba Artist
Shine – Amileena
My Reason – Habida
Vidonge - Size 8
Kitu Kimoja – Avril
Maswali Ya Polisi – DNA
Vunja Shingo - Q-Tasi ft Mejja
Fimbo Ya Kwanza - Grandpa Family
Boogez Boogez - Prince Davis


Best Urban Song
Ha-He – Nonini/Just-A-Band 
Party Don’t Stop – CampMulla  
Welcome 2 the Disco – MuthoniDQ
Kusunga – Boneless


Best Fusion Artiste
Chips Funga – Anto Neo-soul  
Coming Home – Nameless   
Saida – Dan Aceda
Mama Africa - Judith Bwire
Jahera Na - Juliet
Still a liar – Wahu


Gospel Artiste of the Year
Daddy Owen ft. Denno – Mbona
Eko Dydda – Psalms 23
Eunice Njeri – Natamani
Mastar Piece ft. DK – Kofii Yoo
Emmy Kosgei – Ololo
Willy Paul ft. Gloria Muliro – Sitolia


Best Ragga/Reggae
Mbona - Daddy Owen
Nairobi Rough – Fireson
Number One - Kevo Yout
Guarantee – Wyre
What You Like - Longombas ft Mr. Vegas


Music Video of the Year
Nameless - Coming Home
Rabbit - Swahili Shakespeare
Juliani - Exponential Potential
Daddy Owen – Mbona
Nonini - Colour Kwa face
Wahu - Still A Liar


Best Hip Hop Artist
Mafans – Cannibal 
Prep – Xtatic   
On Top – Octopizzo    
Swahili Shakespeare – Rabbit
Colour Kwa Face – Nonini
Exponential Potential – Juliani


Collabo of the Year
Don't Want To Be Alone – AY ft Sauti Sol   
Make You Dance – Keko ft Madtraxx 
Mpita Njia – Alicios ft Juliana
Mbona – Daddy Owen ft Denno
Gentleman – P Unit ft Sauti Sol
What You Like – Longombas ft Mr. Vegas


East African Recognition Award
TMK - Kichwa Kinauma (TZ)
Jackie Chandiru – Golddigger (UG)
Lady Jaydee ft. Mr Blue – Wangu (TZ)
Professor Jay – Kamiligado (TZ)
Chameleone - Valu Valu (UG)
Diamond – Mawazo (TZ)
Dynamq - Jere Jere (Southern Sudan)


Best Benga Song
Sihai Malo - Judith Bwire  
Kaana Funny - Kamande wa Kioi
Momo - Murimi wa Kahalf 
Kanungo Eteko - Otieno Aloka


Lifetime Achievement Award
Nameless


Artist of the Year
Camp Mulla   
Nameless   
Daddy Owen  (Kshs. 2 million cash prize)
Nonini   
Octopizzo 
Emmy Kosgei


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...