Thursday, November 15, 2012

Kanisa kujenga vyuo vikuu vitatu vipya


Askofu Mkuu wa K.K.K.T nchini Bishop Malasusa

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) lina mpango wa kuanzisha vyuo vikuu vitatu vitakavyokuwa vyuo vikuu vishiriki vya chuo kikuu cha Makumira kilichopo nje kidogo ya jiji la Arusha.Makamu mkuu wa chuo kikuu cha Makumira Prof. Joseph Parsalaw alisema mwishoni mwa wiki kuwa lengo ni kuboresha utoaji wa elimu nchini.Kwa mujibu wa Makamu mkuu wa Tumaini vyuo hivyo vitajengwa mkoani Singida, Monduli, na Karagwe mkoani kagera.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...