Monday, January 23, 2012

Enid Moraa – Wewe Ni Bwana Lyrics


Enid Moraa


Song: Wewe Ni Bwana
Audio Producer: Reuben Kigame
Artist: Enid Moraa
Citizenship: Kenyan

Chorous
Wewe ni Bwana
Juu ya ma Bwana
Ufalme wako Wadumu Milele
Wewe ni Bwana
Juu ya ma Bwana
Umetukuka Milele Amina

Verse 1
Katoka juu Mbinguni
Kaja hapa Duniani
Kamwaga Damu Carivary
Ili nipate kombolewa
Na nimeokoka , Nimeoshwa dhambi
Nimekuwa Safi Ninakusifu
Milele, na Milele, na Milele

Repeat Chorous
Verse 2
Majaribu yaja, Shida nazo zaja
Kila siku ndiyo, Nikatika Vita
 Adui hata Sita, Kunimaliza
Nami nimeuona mkono wa Yesu
Msaada wangu, tegemeo langu
Mwamba Imara, kwake Nasimama
Nimeweka imani, kwa Yule aliye, Mwaminifu

Repeat Chorous

Sema Nami
Hakuna Kama wewe
Unaye jaza Roho
Wadumu, Wadumu
Milele na Milele
Hiiyeeeh Hiiyeeeh x 3
Umetukuka, Milele, Amina x3

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...