Monday, January 23, 2012

Picha Yetu Jumatatu Hii: Mwl C. Mwakasege akifanya Maombezi


Pichani anaonekana Mwl Christopher Mwakasege(Kulia) akiwa na Mkewe Mama Diana Mwakasege(Kushoto), wakifanya maombezi katika moja ya semina zinazofanywa sehemu mbalimbali na huduma ya MANA inayoongozwa na Mwl  Mwakasege.No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...