Monday, January 9, 2012

Picha Yetu Jumatatu Hii: Ucheagu akiwa na Dr Ron Kenoly


Pichani anaonekana mwanamuziki wa nyimbo za Injili kutoka nchini Nigeria aishie Afrika ya Kusini Ucheagu maarufu kama Uche Double Double akiwa na Dr Ron Kenoly, Uche yuko jijini London nchini Uingereza toka mwanzoni mwa mwezi huu (jan 2012) kwa mwaliko wa kanisa la Hope Way Ministries. Moja kati ya vitu vilivyomshangaza Uche ni Kitendo cha Ron Kenoly kuimba kipande cha wimbo wa My GOD Is Good ooh(Double Double) mara baada ya kusalimiana.Uche na Ron Konoly walipanda kila mmoja stejini na kuhudumu katika semina hiyo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...