Monday, January 16, 2012

Picha Yetu Jumatatu Hii: Prophet TB Joshua akibeba Magunia ya Mchele kwa ajili ya wenye Uhitaji

Pichani anaonekana Mtumishi wa Mungu Nabii Temitope Joshua (TB Joshua)akibeba Magunia ya Mchele na kutoka kwenye Lori la kanisani kwake na kwenda kuwapa wahitaji. Hii SPIRIT ni ya kipekee kuikuta katika watumishi wengi Duniani.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...