Monday, September 12, 2011

Picha Yetu Jumatatu Hii: Watoto wenye uhitaji mbalimbaliPichani ni Watoto walio chini ya  kituo cha kulea watoto wenye mahitaji mbalimbali kilicho chini ya Huduma ya Walk like Jesus Walked, Kituo hiki kiko mjini Kisumu nchini Kenya. Kuna haja kubwa ya makanisa leo kuwa na miundombinu ambayo kwa namna moja au nyingine itasaidia makundi mbalimbali yenye uhitaji katika jamii kama wazee,wajane, mayatima namengine mengi pasipo kujali kama wameokoka au la.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...