Tuesday, September 13, 2011

Video album ya Minza Josephine NkillaJosephine(Minza) Nkilla
Moja kati ya album ambazo zinafanya vizuri sokoni ni pamoja na album ya mwanadada Josephine Minza Nkilla iitwayo NAKUABUDU BWANA. Album hii iliyotengenezwa na kampuni ya Gospel Media iliyoko Dodoma na kusambazwa na Hot Media Group(MBC), ina jumla ya nyimbo kumi(10) zenye mahadhi Tofauti tofauti. 

Katika jiji la Mwanza imenichukua takribani wiki mbili kuipata album hii, maduka karibu yote maarufu kwa kuuuza kanda, album hii ilikuwa imemalizika mpaka zilipoanza kupatikana tena siku ya jana.
Ijumaa Ya wiki ijayo katika kipengele cha ALBUM PREVIEW hapa Hosanna Inc, tutaiangalia kwa kina video album hii kuanzia
   
                                   Ujumbe Uliomo
                                   Ala(Beats)
                                   Upigaji wa Picha za Video
                                   Muonekano wa washiriki
                                   Cover Designing
                                   Ubunifu uliomo na memgine mengi


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...