Sunday, May 6, 2012

Erick Brighton kuwakutanisha wadau wa Muziki wa Injili


Man of GOD Erick Brighton

Jumanne ijayo ya tarehe 8.05.2012 kuanzia saa moja usiku katika Hotel ya Atriums iliyoko Sinza jijini Dar es salaam mtangazaji wa Praise Power Radio Erick Brighton atakuwa akiwakutanisha wadau wa Muziki wa injili kwa lengo la kuboresha uimbaji nchini.Katika kusanyiko hilo linatarajiwa kuwaweka pamoja

Waimbaji wa nyimbo za Injili
Watangazaji
Maproducers
Waandishi wa habari
Wasambazaji wa nyimbo za injili
Wadau wa Muziki wa injili nchini

Kama wewe ni mdau wa muziki wa injili nchini usiache kufika pale Atriums

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...