Tuesday, May 22, 2012

Mchungaji Methew Sasali Abatiza


Kanisa la Tanzania Assemblies of God Jerusalem Temple la jijini Mbeya jumapili iliyopita limeendesha ibada ya Ubatizo kanisani hapo ambapo mtumishi wa Mungu Mathew Sasali aliongoza zoezi hilo. Kanisa hilo liko chini ya Mchungaji na Mwangalizi wa Sehemu ya Iyunga Mch Addison Mwanjuga

Mchungaji Matthew Sasali Akiwa Madhabahuni Jerusalem Temple Mbeya

Pastor Methew sasali akibatiza
  
Tutauvua utu wa kale na kuuvaa utu upya

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...