Thursday, May 3, 2012

Upendo kilahiro kufanya huduma Toronto chini Canada


Upendo kilahiro akiwa na barozi wa Tanzania nchini Canada Mh Massinda

Mwanamuziki wa injili kutoka nchini Tanzania Upendo kilahiro, anatarajia kuhudumu katika Ibada ya kusifu itakayofanyika asubuhi ya tarehe 6th 05.2012 katika kanisa la Toronto International Community Church(TICC) lililoko 190 Railside Road Toronto nchini Canada.Upendo Kilahiro yuko ziarani nchini Canada akifanya huduma nchini humo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...