Tuesday, May 8, 2012

Uwezo kutoka kwa Adawnaje Band nyimbo inayotamba kwa sasa nchini KenyaAdawnaje Band  ni Band inayoundwa na vijana wa kikristo nchini Kenya na kwa sasa kila mtu nchini Kenya awe ameokoka ama hajaokoka anajua nini wanafanya vijana hawa.Tofauti na Lyrics pamoja na sauti zilizomo humo ndani, cha kujifunza katika Video ya nyimbo hiyo ni namna Director wa nyimbo hiyo alivyoamua kufanya video katika mazingira ya kawaida akichanganya na story(narrations) huku makameraman wakipiga shoots safi na makini kiasi cha kuleta mvuto kwa kila anayeiangalia.Kwa mbali wanaladha kama kundi la SOWERS,angalia video hii na Mungu akubariki

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...