Tuesday, April 24, 2012

Askofu Gwajima Ziarani Jijini LondonAskofu Josephat Gwajima akihubiri jijini London Mwaka jana mwishoni
Mchungaji Josephat Gwajima  wa kanisa la Glory f Christ Tanzania anatarajia kuwepo jijini london kuanzia jumapili hii ya tarehe 29 hadi tarehe 6 ya mwezi wa tano.kwa yeyote ambaye angependa kukutana na mchungaji kwa ajili ya maombi na ushauri basi anatakiwa kupiga simu namba 

0742 7532044 au
07429667095
ili kupanga siku na muda ambao angekutana na mchungaji.
Pamoja na hayo mchungaji atakuwa kwenye tawi la kanisa lake jumapili zote mbili kwa yeyote ambaye angependa kufika afuate anuani hii
Glory of christ ministries international,
langham road,Tottenham,
London, N15 3RB.
Kwa Maelezo zaidi unaweza piga simu kwenye namba tajwa hapo juu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...