Tuesday, April 10, 2012

Familia ya Rais Barak Obama katika Pasaka Hii


Rais Barak Obama akiwa na Familia yake wakielekea kanisani kwa ajili ya Ibada ya pasaka siku ya jumapili iliyopita

Mke wa Rais Barak Obama mama Michelle Obama akiwa na familia za wanajeshi wa Marekani katika katika Pre Easter Ceremony
Mama michelle Obama akipokea kadi za Pasaka kutoka kwa familia za wanajeshi

Michelle obama akiwa na mtoto wa mmoja wa wanajeshi wa jeshi la nchi hiyo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...