Friday, April 6, 2012

Rebeka Malope Kuwasili leo Nchini


Rebeka Malope
Mtumishi wa Mungu kutoka nchini Afrika ya Kusini Rebeka Malope leo tarehe 6.04.2012 anatarajia kuwasili nchini kwa ajili ya kuhudumu katika Tamasha la Pasaka.Tamasha hilo linalotarajia kufanyika keshokutwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam ambapo tofauti na Malope,Ephraim Sekeleti pia natarajiwa kuwepo uwanjani hapo.Hili ni moja kati ya Matamasha Makubwa ya injili nchini.

Ephraim Sekeleti pia natarajiwa Kuhudumu siku hiyo
 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...