Thursday, April 19, 2012

Christian Bloggers kukutana jumamosi hiiJumamosi hii tarehe 21.04.2012 kuanzia saa 3:00asbh-5:00asbh Pembeni ya Mlimani City katika mgahawa wa Esaurp (Esaurp Village), kutafanyika mkutano maalumu kwa kwa watu wote wanaomiliki blogs za Kikristo nchini Tanazania. Pia wale wote wenye nia ya kuanzisha blog za kikristo kwa ajili ya makanisa , huduma wanaalikwa na msaada wa kitaalamu kwa ajili yao utatolewa. 

Pamoja na hayo kwa wadau wote wanaotembelea blogs za Gospel nchini wanaalikwa kwa ajili ya kutoa mchango wao ili kuboresha blogs za Injili nchini.Kumbuka, Blog Kama MADHABAHU inaweza KUUJENGA ufalme wa Mungu na pia inaweza kuuharibu.Usikose mtumishi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...