Friday, April 20, 2012

Video Making-Manze ni GOD ya Maximum Melodies-Kenya


Maximum Melodies ni kundi maarufu la muziki wa injili nchini Kenya, kwa Muda sasa kundi hili limekuwa likifanya vizuri kiuimbaji.Aina ya muziki wauimbao ni wa mahadhi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Rythm and Blues(R&B),Rhumba,Sebene,Hip Hop, Ragga, na  Raggamuffing.Hapa ni wakati kundi hilo likitengeneza nyimbo yao iitwayo Manze ni GOD.

Andrew young kiongozi wa Maximum melodies akiweka Crane sawa kabla ya ku-shoot


Make up zikiendelea kushoto ni Marehemu Winnie wambui aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari

 Wadada wakiendeleza Make up

Wakaka wakiset kamera kwenye crane

Tayari kwa kuanza ku-shoot

Wadada tayari kwa kazi

wakaka tayari kwa kazi
  
Bro Dominic akiwa kirubani 

Kazi ilifanyika eneo hili 

Kazi ikiwa imekamilika,iangalie Kipande cha Verse ya kwanza kaimba Marehemu Winnie Wambui(FOI) akisema bila GOD mi ni  useless.... 


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...