Thursday, April 19, 2012

Kekeletso(Keke) Ziarani nchini Kenya
Mwanamuziki maarufu kutoka nchini Afrika ya Kusini Kekeletso Phoofolo(Keke), amekuwa nchini kenya  katika ziara yake ya kitumishi .Licha ya uimbaji Keke, ni Mchungaji na ni mmoja kati ya wanamuziki wachache ambao Mungu amewapa uwezo sio tu wa kuimba, pia uwezo wa kufundisha Neno la Mungu.Kwa sasa Prophet Keke anakanisa lake nchini Afrika ya Kusini.

Kulia ni Keke akiwa na Mtangazaji wa RAUKA Tv show jumapili iliyopita katika ndani ya Citizen Television
Keke akiwa na stive Mutuku kutoka K-krew

Keke akiwa na director wa Kipindi cha Rauka dada Mercy ChepkemoiKeke akiimba Live on stage


 

 Keke Akihubiri kanisani kwake

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...